MHE RAIS DKT SAMIA KUANZA ZIARA LEO NCHINI AFRIKA YA KUSINI
TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan jioni ya leo Juni 18, atasafiri kuelekea nchini Jamhuri ya Afrika kusini kwa ajili ya kushiriki uapisho wa Rais mteule wa nchi hiyo Mhe.Matamela Cyril Ramaphosa utakaofanyika tarehe 19 Juni 2024 mbae ameteuliwa kuwa Rais wa Nchi hiyo.