BIMKUBWA AWASILI AFRIKA KUSINI
AFRIKA KUSINI
Bimkubwa Dkt Samia Suluhu Hassan tayari amewasili katika uwanja wa ndege wa Waterkloof Pretoria Nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kuhudhuria uapisho wa Rais mteule wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa utakaofanyika Juni 19, 2024.