KARIBU NYUMBANI BIMKUBWADAR ES SALAAMMhe.Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amewasili nchini leo Juni 19 akitokea Afrika Kusini alikokwenda (jana) Juni 18 kwa ziara ya siku ya moja kwa ajili ya kuhudhuria uapisho wa Rais Wa nchi hiyo Mhe.Cyril Ramaphosa.KARIBU NYUMBANI BIMKUBWA