KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA KUKETI JUNI 29&30,2024

KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA KUKETI JUNI 29&30,2024

KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA KUKETI JUNI 29&30,2024

DAR ES SALAAM
Kamati kuu ya Halmshauri kuu Taifa ya chama cha Mapinduzi (CCM) na Halmashauri kuu ya CCM taifa (NEC) vitaketi Jijini Dar es salaam Juni 29 na 30 ,2024 chini ya Uongozi wa mwenyekiti wa CCM na Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndugu Samia Suluhu Hassan.