WAJAWAZITO 1,607,540 WAJIFUNGULIA VITUO VYA AFYA

 

WAJAWAZITO 1,607,540 WAJIFUNGULIA VITUO VYA AFYA

WAJAWAZITO 1,607,540 WAJIFUNGULIA VITUO VYA AFYA

TANZANIA
Serikali ya awamu ya sita imeendelea kuimarisha huduma wakati wa kujifungua kwa kuendelea kutoa elimu kwa wajawazito kujifungulia katika vituo vya kutolea huduma za afya ili waweze kupatiwa huduma na wahudumu wa afya wenye ujuzi. 
kipindi cha Julai 2023 hadi Machi 2024, jumla ya wajawazito 1,607,540 sawa na 97.85% wamejifungulia katika vituo vya kutolea huduma za afya kati ya wajawazito wote 1,642,648 ambao walijifungua katika kipindi hiki, ikilinganishwa na wajawazito 1,504,384 sawa na 97.75% ya 1,538,710 waliojifungua katika kipindi kama hicho mwaka 2022/23