DKT SAMIA AWASILI KOREAMhe.Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa ndege wa Selous, Jamhuri ya Korea kwa ajili ya ziara rasmi ya kikazi kuanzia Mei 31 hadi Juni 6,2024.Kaa nasi kwa taarifa zaidi