WAHUDUMU WA AFYA BWAWANI TENGERU WANAISHI KIBOSS

WAHUDUMU WA AFYA BWAWANI TENGERU WANAISHI KIBOSS

WAHUDUMU WA AFYA BWAWANI TENGERU WANAISHI KIBOSS

ARUSHA
Kwenye picha ni muonekano wa  nyumba(3 in 1 ) ya Wahudumu wa Kituo kipya cha Afya Bwawani  kilichopo katika kijiji cha Themiyasimba, kata ya Bwawani, wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha.
Aidha kituo cha afya bwawani (ambacho wahudumu waliojengewa nyumba hizi wanakihudumia) kimejengwa na serikali kupitia mfuko wa maendeleo ya jamii (TASAF)  kwa gharama ya shilingi mioni 357 na unajumuisha ujenzi wa jengo la wagonjwa wa nje (OPD), ujenzi wa wodi ya mama na mtoto ( maternitu ward).