TSH BIL 93.6 KUBORESHA BARABARA KIGAMBONI.

 

TSH BIL 93.6  KUBORESHA BARABARA  KIGAMBONI.

TSH BIL 93.6  KUBORESHA BARABARA  KIGAMBONI

DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ameridhia kiasi cha shilingi bilioni 93.6 ( bilioini 88 kutoka Mradi wa uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam (Dar es Salaam Metropolitan Development Project – DMDP)  na shilingi bilioni 5.6 kutoka TARURA) zipelekwe Wilaya ya Kigamboni kwa ajili ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami zenye urefu wa km 42 (Fedha ya DMDP,na shilingi bilioni 5.6 matengenezo ya barabara katika wilaya hiyo.
Miongoni mwa barabara zitakazoguswa na mradi huo ni pamoja na kibada – mwasonga,kimbijisongani-kijaka, kimbiji-cheka na  kijaka –kimbiji.