TSH BIL 795 KUJENGA KIWANDA KINGINE CHA VIOO

 

TSH BIL 795  KUJENGA KIWANDA KINGINE CHA VIOO

TSH BIL 795  KUJENGA KIWANDA KINGINE CHA VIOO

PWANI
Kutokana na mazingira wezeshi na mabadiliko ya sheria ya uwekezaji ya mwaka 2022 inayozingatia maslahi kwa wawekezaji imeivuta Kampuni ya KEDA Ceramic Limited kujenga Kiwanda kingine kikubwa cha kutengeneza vioo katika eneo la Mkuranga Mkoa wa Pwani ambacho ujenzi wake umegharimu shilingi bilioni 795 na ujenzi umefikia 80% na kinatarajiwa kukamilika Juni, 2024.
Kiwanda cha KEDA kitakapokamilika kitakuwa cha nne nchini(utengenezaji vioo)  na kitazalisha tani 600 za vioo kwa siku.