TSH BIL. 322.3 KUNUNUA BIDHAA ZA AFYA NGAZI YA AFYA MSINGI.

TSH BIL. 322.3 KUNUNUA  BIDHAA ZA AFYA NGAZI YA AFYA MSINGI.

TSH BIL. 322.3 KUNUNUA  BIDHAA ZA AFYA NGAZI YA AFYA MSINGI.

DODOMA
Serikali imetenga jumla ya shilingi Bil. 322.3 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya huduma za Afya katika ngazi ya Afya Msingi.
Kati ya fedha hizo shilingi Bil. 205 ni kwa ajili ya ununuzi wa dawa na vitendanishi na shilingi Bil. 117.3 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa na vifaa Tiba ngazi ya msingi ili kuboresha huduma za Afya.