TAYARI TUKO HAPA JKCC MUBASHARA

 

TAYARI TUKO HAPA  JKCC MUBASHARA

TAYARI TUKO HAPA  JKCC MUBASHARA

DODOMA
Bimkubwa Tanzania tumejipanga kukuletea matangazo mubashara kutoka hapa JKCC Dodoma, wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa mgeni rasmi leo Mei 11, 2024 kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 62 ya RedCross Tanzania