TSH BIL 3.5 KUPIGA JEKI HALMASHAURI 101
ARUSHA
Serikali ya awamu ya sita imetenga kiasi cha shilingi bilioni 3.5 (kuanzia mwezi Julai mwaka huu)kwa ajili ya kulipa mishahara ya Watumishi 473 kutoka Halmashauri 101 kutokana na hamshauri hizo kushindwa kulipa mishahara kupitia mapato ya ndani, hii ni kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi ya Makamu wa Rais kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 'Mei Mosi" iliyofanyika kitaifa mkoani Arusha leo Mei 1, 2024
