TRENI YA MWENDO KASI (SGR) DAR – DOM KUANZA JULAI 25

 

TRENI YA MWENDO KASI (SGR) DAR – DOM KUANZA JULAI 25

DAR ES SALAAM

Safari ya Treni ya Mwendo kasi ( SGR) kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma inatarajiwa kuanza tarehe 25 Julai 2024  , hii ni kwa mujibu wa wizara ya uchukuzi baada ya  ukaguzi wa miundombinu ya Reli ya Kisasa SGR kipande cha Dar es Salaam na kujiridhisha kuwa treni hiyo itaanza kuwa maandalizi yanaendelea vizuriVilevile Katika kuhakikisha safari ya Treni hiyo inaanza bila kuwepo changamoto ,  wizara imesema kuanzia mwezi juni Treni hiyo itaanza safari ya Dar es Salaam mpaka Morogoro na mifumo ya tiketi itakuwa tayari Aidha nauli ya treni hiyo itakuwa Rafiki kwa kila Mtanzania ataweza kusafairi kuanzia daraja la kwanza mpaka Daraja la tatu