TPA YAHUDUMIA TANI MILIONI 20+ ZA MIZIGO

 

TPA YAHUDUMIA TANI MILIONI 20+ ZA MIZIGO

TPA YAHUDUMIA TANI MILIONI 20+ ZA MIZIGO

TANGA
Hadi kufikia Machi, 2024  Mamlaka ya usimamaizi wa bandari ( Tanzania Ports Authority-TPA)  imehudumia tani milioni 20.72 za shehena ya mizigo ikilinganishwa na tani milioni 14.56 katika kipindi kama hicho mwaka wa fedha 2022/23, sawa na ongezeko la 42.31%.
Aidha, kwa upande wa makasha, TPA imehudumia makasha 805,167 ikilinganishwa na makasha 688,609 katika kipindi kama hicho mwaka 2022/23 sawa na ongezeko la asilimia 16.92. 
Ongezeko hilo la shehena ya mizigo na makasha limetokana na mikakati mbalimbali inayoendelea kutekelezwa ikiwa ni pamoja na uboreshaji wa Bandari za Dar es Salaam, Tanga na Mtwara