MHE RAIS DKT SAMIA AKIWA NCHINI UFARANSA
PARIS
Pichani ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akiwa Paris nchini Ufaransa Mei 12,2024 alipowasili nchini humo kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa kimataifa wa Nishati Safi ya kupikia kwa Afrika utakaofanyika Mei 14, 2024 Jijini Paris ambapo Pia atakuwa Mwenyekiti mwenza wa mkutano huo wa kimataifa.
