JULAI 2023- MACHI 2024 W/MADINI ILIPOKEA TSH BIL 135+

 

JULAI 2023- MACHI 2024 WMADINI ILIPOKEA TSH BIL 135+

JULAI 2023- MACHI 2024 W/MADINI ILIPOKEA TSH BIL 135+

DODOMA
Katika kipindi cha Julai 2023 hadi Machi 2024, Wizara ya madini imepokea jumla ya shilingi 135,695,115,605.50 sawa na 83.24%
Kati ya fedha hizo shilingi 35,109,940,171.76 ni kwa ajili ya matumizi mengineyo, shilingi 16,322,908,519.34 ni kwa ajili ya mishahara na shilingi 84,262,266,914.40 ni matumizi ya maendeleo. 
Aidha, shilingi 924,951,402.63 zimepokelewa kupitia akaunti ya amana kwa ajili ya awamu ya pili ya ujenzi wa jengo la Wizara ya Madini Makao Makuu pamoja na Jengo la Ofisi ya Makao Makuu ya Tume ya Madini. 
MAJENGO YOTE YANAJENGWA JIJINI DODOMA