MATUMIZI YA MAPATO YA NDANI YAONGEZEKA
DODOMA
Matumizi ya fedha za mapato ya ndani kwenye miradi ya maendeleo yameongezeka kutoka shilingi bilioni 194.80 zilizotumika hadi Machi, 2023 ikilinganishwa na shilingi bilioni 226.05 zilizotumika hadi Machi, 2024
Hatua hii imechagizwa na kuimarika kwa ukusanyaji na usimamizi wa mapato unaofanywa na serikali ya awamu ya sita.
