MATAIFA LUKUKI YAMIMINIKA NCHINI KUFUATA MAFUNZO (ULINZI)

 

MATAIFA LUKUKI YAMIMINIKA NCHINI KUFUATA MAFUNZO (ULINZI)

MATAIFA LUKUKI YAMIMINIKA NCHINI KUFUATA MAFUNZO (ULINZI)

TANZANIA
Wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga Taifa kupitia Chuo cha Taifa cha UIinzi (National Defence College - Tanzania) imeendeIea kutoa mafunzo ya UsaIama na Stratejia kwa maafisa wa vyombo vya UIinzi na UsaIama pamoja, na kwa viongozi katika utumishi wa umma katika ngazi mbaIimbaIi
Katika Mwaka wa Fedha 2023/24 washiriki 53 wamehudhuria kozi ndefu, na washiriki 187 kozi fupi kutoka ndani na nje ya nchi.
Baadhi ya washriki kutoka nje ya nchi walitoka Katika nchi za Afrika Kusini, Botswana, Burundi, Ethiopia, India, Kenya, MaIawi, Misri, Namibia, Nigeria, Rwanda, Sierra Leone, Uganda, Zambia na Zimbabwe.