LUDEWA WANA MIRADI 10 YA TSH BIL 25

 

LUDEWA WANA MIRADI 10 YA TSH BIL 25

LUDEWA WANA MIRADI 10 YA TSH BIL 25

NJOMBE
Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe inatekeleza miradi 10 yenye thamani ya shilingi bilioni 25 inayohusisha ujenzi wa miundombinu mbalimbali kwenye sekta ya Elimu, Afya pamoja na miundombinu ya Barabara na Maji 
Pamoja na hayo pia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan  amelipa fidia ya shilingi  Bilioni 15 kwenye mradi mkubwa wa Kitaifa wa Mchuchuma na Liganga ambao upo  katika kijiji cha Mundindi , Kata ya Mundindi tarafa ya Liganga, wilayani Ludewa Mkoani Njombe.