TSH BIL 709 ZILIENDA WIZARA YA MAJI 2022/23

 

TSH BIL 709 ZILIENDA WIZARA YA MAJI 2022/23

TSH BIL 709 ZILIENDA WIZARA YA MAJI 2022/23

TANZANIA
Katika mwaka 2022/2023, Fungu 49 – Wizara ya Maji iliidhinishiwa jumla ya Shilingi 709,361,607,000 na kati ya fedha hizo Shilingi 51,462,269,000 zilikuwa ni fedha za matumizi ya kawaida na Shilingi 657,899,338,000 zilikuwa ni fedha za maendeleo. 
Hadi mwezi Aprili 2023, Wizara imepokea jumla ya Shilingi 686,370,565,613.50 sawa na  96.76% ya bajeti iliyoidhinishwa. 
Kati ya fedha zilizopokelewa, Shilingi 648,076,417,279.05 ni za kutekeleza miradi ya maendeleo na Shilingi 38,294,148,334.45 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida