JWTZ INASHIRIKIANA NA NCHI MBALIMBALI DUNIANI

 

JWTZ INASHIRIKIANA NA NCHI MBALIMBALI DUNIANI

JWTZ INASHIRIKIANA NA NCHI MBALIMBALI DUNIANI

TANZANIA 
JWTZ imeendeIea kushirikiana na nchi rafiki katika masuaIa ya uIinzi na usaIama katika maeneo mbaIimbaIi, ikiwemo mafunzo, misaada ya kitaaIamu, zana na vifaa. 
ViIeviIe, JWTZ inashirikiana na Umoja wa Mataifa (UN), Umoja wa Afrika (AU), Jumuiya ya MaendeIeo Kusini mwa Afrika (SADC), na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) katika mafunzo, ubadiIishanaji wataaIamu, na operesheni mbaIimbaIi. 
Aidha, JWTZ inaendeIea kushirikiana na nchi rafiki katika kutoa mafunzo kwa maafisa na askari, nchi hizo ni pamoja na Afrika Kusini, AIgeria, BangIadesh, Burundi, Canada, DRC, Ethiopia, FaIme za Kiarabu, FinIand, Ghana, Hispania, India, Indonesia, IsraeI, Jamhuri ya Watu wa China, Jordan, Kenya, MaIawi, Marekani, Misri, Morocco, Msumbiji, Nigeria, Oman, Pakistan, Rwanda, Sweden, Ufaransa, Uganda, UhoIanzi, Uingereza, Ujerumani, Urusi, Uturuki, Uswisi, Zambia na Zimbabwe.