JUMLA YA TSH BIL 4 ZAKOPESHWA KWA WASANII

JUMLA YA TSH BIL 4 ZAKOPESHWA KWA WASANII

JUMLA YA TSH BIL 4 ZAKOPESHWA KWA WASANII

DAR ES SALAAM
Kuanzia Julai 2023 hadi April 2024 serikali ya awamu ya sita imetoa Kiasi cha shilingi bilioni 4 (mkopo) kwa wasanii kupitia wizara ya sanaa, utamaduni na michezo kwenye Mfuko wa (utamaduni na sanaa) ambao ni mahsusi kwa ajili ya kuwasaidia wasanii kupata mafunzo,na mikopo ili waweze kufanya  kazi zao za sanaa.
BimkubwaKazini