DKT SAMIA AWAVALISHA NISHANI YA HESHIMA VIONGOZI

 

DKT SAMIA AWAVALISHA  NISHANI YA HESHIMA VIONGOZI

DKT SAMIA AWAVALISHA  NISHANI YA HESHIMA VIONGOZI

DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Usalama amewavalisha Nishani ya Heshima  viongozi mbalimbali waliohuduhria kwenye Mkutano wa Kuadhimisha Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Dar es Salaam
Baadhi ya viongozi waliovalishwa nishani na Dkt Samia ni pamoja na Rais Mstaafu wa Burundi Mhe. Domitien Ndayizeye, Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) Mhe. Moussa Faki Mahamat na wengineo
Nishani hizo zimetokana na kutambua michango yao katika eneo la Amani na Usalama Barani Afrika