DKT SAMIA ATUNUKIWA TUZO MAALUM

 

DKT SAMIA ATUNUKIWA TUZO MAALUM

DKT SAMIA ATUNUKIWA TUZO MAALUM 

DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Tuzo Maalum kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) Mhe. Moussa Faki Mahamat wakati wa Maadhimisho ya miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Mei, 2024.
KUMBUKA:- Dkt Samia pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Usalama.