DKT SAMIA AWAAPISHA WAJUMBE TUME YA MIPANGO
DODOMA
Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan leo Mei 29,2024 amewaapisha wajumbe wa Tume ya mipango katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma.
Lengo la Tume hiyo ni kusimamia uchumi,mchakato wa upangaji na utekelezaji wa mipango ya Maendeleo ya Taifa
