3,000 WAHUDUMIWA KAMBI YA MADAKTARI WA DKT SAMIA

3,000 WAHUDUMIWA KAMBI YA MADAKTARI WA DKT SAMIA

3,000 WAHUDUMIWA KAMBI YA MADAKTARI WA DKT SAMIA

MOROGORO
Wagonjwa zaidi ya 3000 wamepatiwa Matibabu kupitia kambi ya madaktari bingwa na ubingwa bobezi wa Mhe Rais Samia iliyopo Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro kuanzia Mei 6 hadi 10, 2024. Ofisi ya mkuu wa Mkoa Morogoro imesema
Idadi hiyo ya watu imechagizwa na uhitaji mkubwa wa huduma za matibabu kwa wananchi ambapo taarifa zilizopatikana kupitia kambi hiyo zitawezesha kupanga mikakati ya kupambana na magonjwa yanayowasumbua wananchi katika eneo hilo.