WANAFUNZI 72,990 WAPATA RUZUKU YA CHAKULA

WANAFUNZI 72,990 WAPATA RUZUKU YA CHAKULA

WANAFUNZI 72,990 WAPATA RUZUKU YA CHAKULA

TANZANIA
Jumla ya wanafunzi 23,778 wa bweni, wanafunzi 49,212 wa kutwa wamepata ruzuku ya chakula na wanafunzi 12,709,290 wamepata ruzuku ya uendeshaji kwa shule za msingi 17,618. 
Aidha, chakula cha wanafunzi 218,473, fidia ya ada ya bweni kwa wanafunzi 218,473, fidia ya ada ya kutwa kwa wanafunzi 2,831,006 na ruzuku ya uendeshaji wanafunzi 3,049,479 kwa shule za sekondari 4,652 imetolewa