RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA MABALOZI (VIDEO CALL)
PWANI
Mhe Rais Samia amezungumza na mabalozi wanaowakilisha Tanzania nje ya Nchi kwa njia ya video mtandao (Video call) walipokuwa kwenye mkutano unaojadili kuhusu Mkakati wa Diplomasia ya Umma na Tathmin ya kiutendaji (RETREAT) uliofanyika Kibaha,Pwani April 22,2024.