Ili kuimarsiaa hali ya ukusananyaji wa mapato ya ndani nchini serikali ya awamu ya sita imejipanga kununua boti 10 kwa ajili ya kuongeza doria na ulinzi ambazo zitaenda kufanya kazi katika Halmashauri za Wilaya za Ludewa, Ukerewe, Buchosa, Nyasa na Sumbawanga