WAKUU WA WILAYA 3 ZA K’MANJARO WAKABIDHIWA MAGARI

WAKUU WA WILAYA 3 ZA  K’MANJARO WAKABIDHIWA MAGARI

WAKUU WA WILAYA 3 ZA  K’MANJARO WAKABIDHIWA MAGARI 

KILIMANJARO
Serikali kupitia ofisi ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro imekabidhi  magari matatu kwa ajili ya wakuu wa wilaya za Rombo, Mwanga na Same ili kuongeza ufanisi wa utendaji na kuleta maendeleo ya mkoa yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 200 ambayo yatatumika kwa ajili ya shughuli za kiserikali 
Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameanza kutekeleza maombi mbalimbali ya mkoa wa Kilimanjaro ya kuwapatia Wakuu wa wilaya vitendea kazi.