Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan,anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi kwenye Maadhimisho Ya Mei Mosi 2024 katika Viwanja Vya Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.