UNAZIJUA GHARAMA , HATUA ZA UJENZI WA SGR DAR-MWANZA USIPITWE

UNAZIJUA GHARAMA , HATUA ZA  UJENZI WA SGR DAR-MWANZA?  USIPITWE

 UNAZIJUA GHARAMA , HATUA ZA  UJENZI WA SGR DAR-MWANZA?  USIPITWE

MWANZA
Serikali imetumia kiasi cha sh. trilioni 10.69 kwa ajili ya ujenzi wa reli ya kisasa kwa kiwango cha kimataifa yenye urefu wa kilometa 1,219 kuanzia Dar es Saalam hadi Mwanza.
Hadi kufikia Februari 2024, ujenzi wa reli hiyo umefikia viwango vya kati ya asilimia 5.38 na asilimia 98.84, tayari reli hiyo imeshaanza kufanyiwa majaribio kwa kipande cha Dar es Salaam hadi Morogoro mwezi februari mwaka huu huku matarajio yakiwa ni kuanza rasmi utoaji wa huduma ifikapo  Julai, 2024 kwa kipande cha Dar es Salaam hadi Dodoma.
Ujenzi wa kipande cha Dar es Salaam – Morogoro (52.69, Makutupora – Tabora (Kilomita 371) umefikia 13.86%, Tabora – Isaka (Kilomita 165) umefikia asilimia 5.38 na Tabora – Kigoma (Kilomita 506) umefikia asilimia 1.81 Kilomita 300) umefikia asilimia 98.84, Morogoro – Makutupora (Kilomita 422) umefikia asilimia 96.35.