KIWANJA CHA NDEGE MWANZA KUWA CHA KIMATAIFA

 

KIWANJA CHA NDEGE MWANZA KUWA CHA KIMATAIFA

KIWANJA CHA NDEGE MWANZA KUWA CHA KIMATAIFA

MWANZA
Serikali inaweka mikakati kadhaa  katika kiwanja cha ndege cha Mwanza ili kukipa hadhi ya kimataifa
Kuelekea utekelezaji wa mpango huo, Serikali ilifanya mazungumzo na wananchi wanaoishi jirani na kiwanja hicho kutoka katika kata tano zikiwemo za Shibula na Bulyanhulu ambapo takribani watu 1,400 wataguswa na kupewa fidia.
Kando na mpango wa utwaaji ardhi,serikali pia inaendelea na mchakato wa uwekaji nyaraka unaochukua mapitio ya mfumo wa kisheria.
Hatua nyingine itakayosaidia pia kuufanya Uwanja wa Ndege wa Mwanza kuwa wa kimataifa, inahusisha ujenzi na upanuzi wa miundombinu yake.