UPATIKANAJI WA MAJI SAFI MIJINI & VIJIJINI NI 79% +
TANZANIA
Hadi kufikia Februari 2024, hali ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama katika maeneo ya vijijini imefikia asilimia 79.6 ikilinganishwa na asilimia 77 Februari, 2023.
Vilevile, kwa upande wa mijini upatikanaji wa maji umefikia asilimia 90 ikilinganishwa na asilimia 88 Februari 2023.
Mafanikio hayo yamechangiwa na kukamilika kwa utekelezaji wa miradi 374 inayonufaisha wananchi wapatao 2,274,193 wanaoishi vijijini pamoja na kukamilika kwa utekelezaji wa miradi 70 ya maji mjini