TSH TRIL 1.8 ZAENDA ARUSHA 2021/2024

 

TSH TRIL 1.8 ZAENDA ARUSHA 20212024

TSH TRIL 1.8 ZAENDA ARUSHA 2021/2024

ARUSHA
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kipindi cha miaka mitatu  (2021-2024) imetoa kiasi cha shilingi trilioni moja na bilioni mia nane (trilioni 1.8) kwa ajili ya kufanikisha utekelezaji miradi ya maendeleo katika Mkoa wa Arusha.
#BiMkubwaKazini