TSH BIL 230 ZA BOOST ZAJENGA SHULE MPYA AWALI &MSINGI

TSH BIL 230 ZA BOOST ZAJENGA SHULE MPYA AWALI &MSINGI

TSH BIL 230 ZA BOOST ZAJENGA SHULE MPYA AWALI &MSINGI

ARUSHA
Serikali ya awamu ya sita kupitia Mradi wa  kuboresha elimu ya msingi (BOOST) imetoa fedha kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa kiasi cha Shilingi bilioni 230 kwa ajili ya Ujenzi wa Shule mpya za Awali na Msingi 302, vyumba vya madarasa 3,880, matundu ya vyoo 11,297, nyumba za walimu 41, mabweni 2 na ukarabati wa Shule za Msingi 4.