TSH MIL 540 ZAJENGA SHUKE YA MSINGI MWABEBEYAMWANZASerikali kupitia mradi wa kuimarisha elimu ya Awali na Msingi 2022/23 (BOOST) imeidhinisha kiasi cha milioni 540 kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya ya msingi Mwabebeya kwenye kijiji cha Nyang'hmango wilaya ya Misungwi Mkoani Mwanza.