MRADI WA GPE LANES II WALETA MAFANIKIO LUKUKI

MRADI WA GPE LANES II WALETA MAFANIKIO LUKUKI

MRADI WA GPE LANES II WALETA MAFANIKIO LUKUKI

DAR ES SALAAM
Serikali kupitia utekelezaji wa Mradi wa kuimarisha stadi za kusoma,kuandika na kuhesabu awamu ya pili (GPE LANES II) kwa kipindi cha kuanzia April 2021 hadi Februarin 2024 imefanikisha Ujenzi wa madarasa 300 ya Elimu ya Awali ya Mfano, Ujenzi wa Hosteli 20 za Wanafunzi wenye Mahitaji Maalumu, Ujenzi wa Madarasa 432, Matundu ya Vyoo 932 Nyumba za Walimu 11, Mabweni 8 na Shule mpya 10 , utekelezaji huu ni katika maeneo mbalimbali nchini.