MHE. RAIS SAMIA KWENYE MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA
KENYA
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan leo April 29, 2024 anashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta (KICC) Jijini Nairobi, nchini Kenya wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA.
Kwa taarifa zaidi, kaa karibu nasi Bimkubwatanzania
IDA21 Africa Heads of State Summit, KICC, Nairobi
