MHE RAIS SAMIA AKIWA NA RAIS ERDOGAN IKULU YA KULLIYE

MHE RAIS  SAMIA AKIWA NA RAIS ERDOGAN  IKULU YA KULLIYE

MHE RAIS  SAMIA AKIWA NA RAIS ERDOGAN  IKULU YA KULLIYE

UTURUKI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amewasili Ikulu ya Kulliye na kupokelewa na mwenyeji wake Rais wa Uturuki Mhe. Recep Tayyip Erdogan.
Pamoja na mambo mengine Mh Rais Samia amepata wasaa wa kukagua Gwaride la heshima katika viwanja vya Ikulu ya Kulliye Ankara Nchini Uturuki.