2023/24 WIZARA YA NISHATI ILIPOKEA TSH TRIL 3+

 

202324 WIZARA YA NISHATI ILIPOKEA TSH TRIL 3+

2023/24 WIZARA YA NISHATI ILIPOKEA TSH TRIL 3+

TANZANIA
Katika mwaka 2023/24, serikali iliipatia Wizara ya Nishati jumla ya Shilingi Trilioni Tatu na Bilioni Arobaini na Nane, Milioni Mia Sita Thelathini na Mbili, Mia Tano Kumi na Tisa Elfu (Shilingi 3,048,632,519,000).
Katika fedha hizo kiasi cha Shilingi Trilioni Mbili, Bilioni Mia Sita na tisa, Milioni Mia Moja Hamsini na Sita, Mia Moja Ishirini na Nane Elfu (Shilingi 2,609,156,128,000) ziliidhinishwa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo 
Vilevile Shilingi Bilioni Themanini na Saba, Milioni Mia Tisa Ishirini na Tisa, Mia Sita Tisini na Nane Elfu (Shilingi 87,929,698,000) ni kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida.