DODOMA PUNDE TU MTAISHI KIBOSS (MAJI)

 

DODOMA PUNDE TU MTAISHI KIBOSS (MAJI)

DODOMA PUNDE TU MTAISHI KIBOSS (MAJI)

DODOMA
SERIKALI imewahakikishia wananchi wa Mkoa wa Dodoma kuhusu utekelezaji wa miradi ya maji kwa mipango ya  hatua za muda mfupi, wa kati na mrefu katika jitihada zake za kutatua kero ya maji inayoukabili Mkoa huo.
Chanzo:- wizara ya maji, bungeni Jijini Dodoma.
Ili kufikia hatua za kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji mkoani Dodoma ,serikali inaendelea na utekelezaji wa miradi 79 ya maji mijini na ya vijijini ambayo ipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji