DKT SAMIA KUSHIRIKI MKUTANO WA IDA,KENYA

DKT SAMIA  KUSHIRIKI MKUTANO  WA IDA,KENYA

DKT SAMIA  KUSHIRIKI MKUTANO  WA IDA,KENYA

KENYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan yupo jijini Nairobi nchini Kenya tangu April 28, 2024 Kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA.
Kwa taarifa zaidi, kaa karibu nasi Bimkubwatanzania