DKT SAMIA AMUAPISHA N/ WAKILI MKUU WA SERIKALI DAR ES SALAAM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo April 28,2024 amemuapisha Ndugu Alice Edward Mtulo kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.