DKT SAMIA KUONGOZA KUMBUKIZI YA KIFO CHA HAYATI SOKOIN
ARUSHA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuongoza kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine, itakayofanyika katika wilaya ya Monduli,Mkoani Arusha siku ya April 12,2024.
#TutakuwaMubashara