TUNAWATAKIA HERI KATIKA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Katika siku hii ya wanawake Duniani,(Machi 8) BimkubwaTanzania tunapenda kuwatakia heri wanawake wote ulimwenguni,
Tunathamini na kutambua mchango wenu mkubwa katika kuleta ustawi wa kiuchumi, kisiasa,kimaendeleo na kijamii.
#HappyInternationalwomen'sday
