TSH TRIL 1.2 ZAJENGA SEKONDARI 1,000

 

TSH TRIL 1.2 ZAJENGA SEKONDARI 1,000

TSH TRIL 1.2 ZAJENGA SEKONDARI 1,000

DAR ES SALAAM
Kwa kipindi cha miaka mitatu ya Bimkubwa,Kiasi cha shilingi trilioni 1.2 kimetengwa na serikali ya awamu ya sita kupitia mradi wa (SEQUIP) unaolenga kuboresha elimu ya sekondari kwa ajili ya ujenzi wa shule za sekondari 1,000 za kutwa na bweni , na shule 26 z a sekondari za mikoa za wasichana katika mikoa yote 26 ya Tanzania bara.
#Bimkubwakazini