TSH BIL 300 ZAWAOKOA WANAFUNZI 908,802

 

TSH BIL 300 ZAWAOKOA WANAFUNZI   908,802

TSH BIL 300 ZAWAOKOA WANAFUNZI   908,802

DAR ES SALAAM
katika kipindi cha kuanzia 2021/2022  Serikali ya awamu ya sita ilitenga shilingi Bilioni 300 na kujenga madarasa Elfu 15 kwenye Shule za Sekondari, madarasa elfu 12 na Shule shikizi madarasa elfu 3 na kuondoa adha kwa zaidi ya wanafunzi 908,802 waliokuwa wanapata changamoto ya mazingira mazuri ya kusomea.
#BimkubwaKazini