TSH MIL 800+ ZAWAPATIA MAJI NJENGWA-MAJENGO

 

TSH MIL 800+ ZAWAPATIA MAJI NJENGWA-MAJENGO

TSH MIL 800+ ZAWAPATIA MAJI NJENGWA-MAJENGO

MTWARA
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha shilingi 883,297,780.90(Milioni mia nane themanini na tatu,laki mbili tisini na saba elfu,mia saba na themanini) kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa maji uliopo katika Kata ya Njengwa kijiji cha Majengo Halmashauri ya Mji Nanyamba Mkoani Mtwara.
Mradi huo tayari umekamilika na  unawanufaisha takribani Wananchi 4,666 kutoka vijiji vya Njengwa,Njengwa Sokoni na Majengo
KUMBUKA:- Dhamira ya serikali ni kumtua mama ndoo kichwani kwa kusogeza huduma za upatikanaji wa maji safi na salama karibu na wanachi.
#Bimkubwakazini