UJENZI DARAJA LA MAGUFULI WAFIKIA 85%

 

UJENZI DARAJA LA MAGUFULI WAFIKIA 85%

UJENZI DARAJA LA MAGUFULI WAFIKIA 85%

MWANZA
Ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo – Busisi) lenye Kilometa 3.2 pamoja na Barabara unganishi ya Kilometa 1.66, linalojengwa kuunganisha Barabara Kuu ya Usagara – Sengerema – Geita katika Ziwa Victoria umefika 85% na unatarajiwa kukamilika ifikapo mwezi Desemba, 2024.
Chanzo:- ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu walipotembelea kukagua  maendeleo ya mradi huo.
ZINGATIA:- mpaka sasa jumla ya Sh bilioni 441.3 zimetolewa kwa ajili ya kumlipa mkandarasi anayetekeleza mradi huo.